Mwanzo 6:9
Mwanzo 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ifuatayo ni habari juu ya Noa ambaye alikuwa ndiye mwadilifu pekee na ambaye hakuwa na lawama nyakati zake. Alikuwa mcha Mungu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6