Mwanzo 8:11
Mwanzo 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Njiwa huyo akamrudia Noa saa za jioni akiwa na tawi bichi la mzeituni mdomoni mwake. Kwa hiyo Noa akajua kwamba maji yalikuwa yamepungua katika nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8Mwanzo 8:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakati hua aliporejea kwa Noa jioni, alikuwa amechukua katika mdomo wake jani bichi la mzeituni, lililochumwa wakati ule ule! Ndipo Noa akajua ya kuwa maji yameondoka juu ya uso wa dunia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8