Mwanzo 9:2
Mwanzo 9:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila mnyama wa katika nchi atawaogopa ninyi na kuwahofu, na kila ndege wa angani: pamoja na vitu vyote vilivyojaa katika ardhi, na samaki wote wa baharini; vimetiwa mikononi mwenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9