Mwanzo 9:3
Mwanzo 9:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu, kama nilivyowapa mboga za majani, kadhalika nawapeni hivi vyote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9