Mwanzo 9:6
Mwanzo 9:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9