Habakuki 2:3
Habakuki 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Maono haya yanangoja wakati wa kufaa; ni maono ya ukweli juu ya mwisho. Kama yaonekana kuchelewa, uyasubiri; hakika yatafika, wala hayatachelewa.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
Shirikisha
Soma Habakuki 2