Waebrania 1:10-11
Waebrania 1:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako. Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.
Shirikisha
Soma Waebrania 1Waebrania 1:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo
Shirikisha
Soma Waebrania 1