Waebrania 11:10
Waebrania 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Abrahamu alikuwa akingojea mji wenye misingi imara, mji ambao Mungu mwenyewe ndiye fundi aliyeubuni na kuujenga.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi, ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.
Shirikisha
Soma Waebrania 11