Waebrania 11:17
Waebrania 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani Abrahamu alimtoa tambiko mwanawe Isaka wakati Mungu alipomjaribu. Huyo Abrahamu ndiye aliyekuwa amepokea ahadi ya Mungu, lakini, hata hivyo, alikubali kumtoa tambiko mwanawe wa pekee
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Abrahamu alipojaribiwa, akamtoa Isaka awe dhabihu; na yeye aliyezipokea hizo ahadi alikuwa akimtoa mwanawe, mzaliwa pekee
Shirikisha
Soma Waebrania 11