Waebrania 11:29
Waebrania 11:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani watu wa Israeli walivuka bahari ya Shamu kana kwamba ilikuwa nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani wakapita kati ya Bahari ya Shamu, kama katika nchi kavu; Wamisri walipojaribu kufanya vivyo wakatoswa.
Shirikisha
Soma Waebrania 11