Waebrania 11:5
Waebrania 11:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani Henoki alichukuliwa na Mungu, asipate kufa. Hakuonekana tena kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Maandiko yasema kwamba kabla ya kuchukuliwa kwake, yeye alikuwa amempendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Henoko alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha; maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Waebrania 11