Waebrania 12:28
Waebrania 12:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisi basi, na tushukuru, kwani tunapokea ufalme usiotikisika. Tuwe na shukrani na kumwabudu Mungu kwa namna itakayompendeza, kwa ibada na hofu
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kwa kuwa tunapokea ufalme usioweza kutetemeshwa, na muwe na neema, ambayo kwa hiyo tumtolee Mungu ibada ya kumpendeza, pamoja na unyenyekevu na kicho
Shirikisha
Soma Waebrania 12