Waebrania 12:7
Waebrania 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni kwa ajili ya kuonywa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye?
Shirikisha
Soma Waebrania 12