Waebrania 13:15
Waebrania 13:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu tambiko ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa kwa midomo inayoliungama jina lake.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamalo jina lake.
Shirikisha
Soma Waebrania 13