Waebrania 13:4
Waebrania 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Shirikisha
Soma Waebrania 13