Waebrania 13:5
Waebrania 13:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwe watu wa kupenda fedha; toshekeni na vile vitu mlivyo navyo. Mungu mwenyewe amesema: “Sitakuacha kamwe, wala sitakutupa.”
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.
Shirikisha
Soma Waebrania 13