Waebrania 13:7
Waebrania 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakumbukeni viongozi wenu waliowatangazieni neno la Mungu. Fikirini juu ya mwenendo wao, mkaige imani yao.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.
Shirikisha
Soma Waebrania 13