Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 3:11 - Linganisha Matoleo Yote

Waebrania 3:11 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, nilikasirika, nikaapa: ‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko.’

Shirikisha
Waebrania 3 BHN

Waebrania 3:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu.

Shirikisha
Waebrania 3 SUV

Waebrania 3:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu.

Waebrania 3:11 NEN (Neno)

Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’”

Shirikisha
Waebrania 3 NEN