Waebrania 3:12
Waebrania 3:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hai.
Shirikisha
Soma Waebrania 3Waebrania 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi ndugu, jihadharini asije akawako yeyote miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo na asiyeamini hata kujitenga na Mungu aliye hai.
Shirikisha
Soma Waebrania 3