Waebrania 3:13
Waebrania 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mwonyane kila siku, maadamu iitwapo leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.
Shirikisha
Soma Waebrania 3Waebrania 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.
Shirikisha
Soma Waebrania 3