Waebrania 5:7
Waebrania 5:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu
Shirikisha
Soma Waebrania 5Waebrania 5:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu.
Shirikisha
Soma Waebrania 5