Waebrania 5:8-9
Waebrania 5:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na, ingawa ni Mwana, alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata; naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii
Shirikisha
Soma Waebrania 5Waebrania 5:8-9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata, na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.
Shirikisha
Soma Waebrania 5