Waebrania 6:10
Waebrania 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu hakosi haki; yeye hataisahau kazi mliyoifanya au upendo mliyoonesha kwa ajili yake katika huduma mliyowapa na mnayowapa sasa watu wake.
Shirikisha
Soma Waebrania 6Waebrania 6:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.
Shirikisha
Soma Waebrania 6