Waebrania 7:25
Waebrania 7:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.
Shirikisha
Soma Waebrania 7Waebrania 7:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, yeye anaweza daima kuwaokoa kabisa wote wanaomwendea Mungu kwa njia yake, maana yeye anaishi milele kuwaombea kwa Mungu.
Shirikisha
Soma Waebrania 7Waebrania 7:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye, kwa sababu hii, anaweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.
Shirikisha
Soma Waebrania 7