Waebrania 9:14
Waebrania 9:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai?
Shirikisha
Soma Waebrania 9Waebrania 9:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, kwa damu ya Kristo, mambo makuu zaidi hufanyika! Kwa nguvu ya Roho wa milele, Kristo alijitolea mwenyewe tambiko kamilifu kwa Mungu. Damu yake itatutakasa dhamiri zetu kutokana na matendo yaletayo kifo, ili tupate kumtumikia Mungu aliye hai.
Shirikisha
Soma Waebrania 9