Waebrania 9:22
Waebrania 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, kadiri ya sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa kwa damu, na dhambi nazo zaondolewa tu ikiwa damu imemwagwa.
Shirikisha
Soma Waebrania 9Waebrania 9:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika Torati karibu vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo.
Shirikisha
Soma Waebrania 9