Hosea 13:14
Hosea 13:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yanibidi kuwakomboa hawa watu kutoka kuzimu; sharti niwaokoe kutoka kifoni! Ewe Kifo, yako wapi maafa yako? Ewe Kuzimu, yako wapi maangamizi yako? Mimi sitawaonea tena huruma!
Shirikisha
Soma Hosea 13Hosea 13:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitawakomboa kwa nguvu za kaburi; nitawaokoa kutoka kwa mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Huruma itafichika machoni mwangu.
Shirikisha
Soma Hosea 13