Hosea 13:4
Hosea 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema: “Lakini mimi, Mwenyezi-Mungu, ni Mungu wenu, ambaye niliwatoa nchini Misri; hamna mungu mwingine ila mimi, wala hakuna awezaye kuwaokoeni.
Shirikisha
Soma Hosea 13Hosea 13:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mimi ni BWANA, Mungu wako tangu nchi ya Misri; wala hutamjua mungu mwingine ila mimi; wala zaidi ya mimi hakuna mwokozi.
Shirikisha
Soma Hosea 13