Hosea 14:4
Hosea 14:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema, “Nitaponya utovu wao wa uaminifu; nitawapenda tena kwa hiari yangu, maana sitawakasirikia tena.
Shirikisha
Soma Hosea 14Hosea 14:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi nitawaponya kurudi nyuma kwao; nitawapenda kwa ukunjufu wa moyo; kwa maana hasira yangu imemwacha.
Shirikisha
Soma Hosea 14