Hosea 14:9
Hosea 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeyote aliye na hekima ayaelewe mambo haya, mtu aliye na busara ayatambue. Maana njia za Mwenyezi-Mungu ni nyofu; watu wanyofu huzifuata, lakini wakosefu hujikwaa humo.”
Shirikisha
Soma Hosea 14Hosea 14:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliye na hekima, naye atayafahamu mambo haya? Ni nani aliye na busara, naye atayajua? Kwa maana njia za BWANA zimenyoka, nao wenye haki watakwenda katika njia hizo; bali waasio wataanguka ndani yake.
Shirikisha
Soma Hosea 14