Hosea 2:15
Hosea 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu, bonde la Akori nitalifanya lango la tumaini. Atanifuata kwa hiari kama alipokuwa kijana, kama wakati alipotoka katika nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitampa mashamba yake ya mizabibu toka huko, na bonde la Akori kuwa mlango wa tumaini; naye ataniitikia huko, kama siku zile za ujana wake, na kama siku ile alipopanda kutoka nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Hosea 2