Hosea 7:13
Hosea 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wao kwa kuwa wameniacha! Maangamizi na yawapate, maana wameniasi. Nilitaka kuwakomboa, lakini wanazua uongo dhidi yangu.
Shirikisha
Soma Hosea 7Hosea 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wao! Kwa kuwa wamenikimbia; uharibifu na uwapate! Kwa kuwa wameniasi; ingawa ninataka kuwakomboa, hata hivyo wamenena uongo juu yangu.
Shirikisha
Soma Hosea 7