Hosea 9:1
Hosea 9:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usifurahie, ee Israeli; usishangilie kama mataifa mengine. Kwa kuwa hukuwa mwaminifu kwa Mungu wako; umependa ujira wa kahaba kwenye kila sakafu ya kupuria nafaka.
Shirikisha
Soma Hosea 9Hosea 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Msifurahi enyi Waisraeli! Msifanye sherehe kama mataifa mengine; maana, mmekuwa wazinzi kwa kumwacha Mungu wenu. Mmefurahia malipo ya uzinzi, kila mahali pa kupuria nafaka.
Shirikisha
Soma Hosea 9