Isaya 1:17
Isaya 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
jifunzeni kutenda mema. Tendeni haki, ondoeni udhalimu, walindeni yatima, teteeni haki za wajane.”
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.
Shirikisha
Soma Isaya 1