Isaya 10:27
Isaya 10:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, mzigo waliowabebesha nitauondoa na nira waliyowatia shingoni mwenu itavunjwa.” Adui amepanda kutoka Rimoni
Shirikisha
Soma Isaya 10Isaya 10:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu, na nira yao kutoka shingoni mwenu; nira itavunjwa kwa sababu ya kutiwa mafuta.
Shirikisha
Soma Isaya 10