Isaya 11:10
Isaya 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ile chipukizi wa Yese atakuwa ishara kwa mataifa; mataifa yatamtafuta na makazi yake yatatukuka.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na itakuwa katika siku hiyo, shina la Yese lisimamalo kuwa ishara kwa makabila ya watu, yeye ndiye ambaye mataifa watamtafuta; na mahali pake pa kupumzikia patakuwa na utukufu.
Shirikisha
Soma Isaya 11