Isaya 11:5
Isaya 11:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Haki itakuwa kama mkanda wa kujifunga, uaminifu utakaa naye kama mkanda kiunoni.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na haki itakuwa mshipi wa viuno vyake, na uaminifu mshipi wa kujifungia.
Shirikisha
Soma Isaya 11