Isaya 11:6
Isaya 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbwamwitu ataishi pamoja na mwanakondoo, chui watapumzika pamoja na mwanambuzi. Ndama na wanasimba watakula pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mbwamwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala pamoja na mwana-mbuzi; ndama na mwanasimba na ng'ombe wanono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.
Shirikisha
Soma Isaya 11