Isaya 11:9
Isaya 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika mlima mtakatifu wa Mungu hakutakuwa na madhara wala uharibifu. Maana kumjua Mwenyezi-Mungu kutaenea pote nchini, kama vile maji yajaavyo baharini.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawatadhuru wala hawataharibu katika mlima wangu wote mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua BWANA, kama vile maji yanavyoifunika bahari.
Shirikisha
Soma Isaya 11