Isaya 19:1
Isaya 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufunuo juu ya Misri. Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu jepesi, anafika Misri; na sanamu za Misri zinatikisika mbele zake, na moyo wa Misri unayeyuka ndani yake.
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Neno kuhusu Misri: Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka naye anakuja Misri. Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao.
Shirikisha
Soma Isaya 19