Isaya 19:25
Isaya 19:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa BWANA wa majeshi amewabariki, akisema, Wabarikiwe watu wangu Misri; na wewe Ashuru, kazi ya mikono yangu; na wewe Israeli, urithi wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:25 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA Mwenye Nguvu Zote atawabariki, akisema, “Baraka iwe kwa Misri watu wangu, kwa Ashuru kazi ya mikono yangu, na kwa Israeli urithi wangu.”
Shirikisha
Soma Isaya 19