Isaya 2:2
Isaya 2:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi makundi.
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku za mwisho mlima wa Hekalu la BWANA utaimarishwa kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, utainuliwa juu ya vilima, na mataifa yote yatamiminika huko.
Shirikisha
Soma Isaya 2