Isaya 2:22
Isaya 2:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake i katika mianzi ya pua yake; kwa maana hudhaniwaje kuwa ni kitu?
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Acheni kumtumainia mwanadamu, ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. Yeye ana thamani gani?
Shirikisha
Soma Isaya 2