Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 22:17 - Linganisha Matoleo Yote

Isaya 22:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.

Shirikisha
Isaya 22 BHN

Isaya 22:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzonga-zonga.

Shirikisha
Isaya 22 SUV

Isaya 22:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzongazonga.

Shirikisha
Isaya 22 SRUV

Isaya 22:17 NEN (Neno)

“Jihadhari, BWANA yu karibu kukukamata thabiti, na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu.

Shirikisha
Isaya 22 NEN