Isaya 23:1
Isaya 23:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kauli ya Mungu dhidi ya Tiro. Ombolezeni, enyi mabaharia wa mbali baharini, maana Tiro mji wenu umeharibiwa, humo hamna tena makao wala bandari. Mtazipokea habari hizo mtakaporejea kutoka Kupro.
Shirikisha
Soma Isaya 23Isaya 23:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufunuo juu ya Tiro. Toeni sauti za uchungu, enyi merikebu za Tarshishi, kwa maana umeharibika kabisa, hata hapana nyumba, hapana mahali pa kuingia; toka nchi ya Kitimu wamefunuliwa habari.
Shirikisha
Soma Isaya 23