Isaya 23:18
Isaya 23:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Fedha utakayopata itawekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Mji wenyewe hautafaidika kwa fedha hiyo ila wale wanaomwabudu Mwenyezi-Mungu wataitumia kununulia chakula kingi na mavazi mazuri.
Shirikisha
Soma Isaya 23Isaya 23:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na biashara yake na ujira wake utakuwa wakfu kwa BWANA, hautawekwa hazinani wala hautawekwa akiba; bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za BWANA, wapate kula na kushiba, na kuvaa mavazi ya fahari.
Shirikisha
Soma Isaya 23Isaya 23:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 23