Isaya 25:1
Isaya 25:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu wangu; nitakutukuza na kulisifu jina lako, kwa maana umetenda mambo ya ajabu; waitekeleza kwa uaminifu na kweli mipango uliyoipanga tangu zamani.
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.
Shirikisha
Soma Isaya 25