Isaya 25:6
Isaya 25:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika mlima huu BWANA wa majeshi atawafanyia mataifa yote karamu ya vitu vinono, karamu ya divai iliyokaa juu ya urojorojo wake, karamu ya vinono vilivyojaa mafuta, karamu ya divai iliyokaa juu ya urojorojo wake, iliyochujwa sana.
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya mlima Siyoni, Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafanyia watu wote karamu ya vinono na divai nzuri, nyama tamu na mafuta, pamoja na divai safi.
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 25