Isaya 25:8
Isaya 25:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana Mungu atakiangamiza kifo milele! Atayafuta machozi katika nyuso za watu wote na kuwaondolea watu wake aibu duniani kote. Bwana Mwenyezi-Mungu ametamka.
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.
Shirikisha
Soma Isaya 25