Isaya 25:9
Isaya 25:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ile, watu wote watasema, “Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemngojea atuokoe. Huyu ndiye Mwenyezi-Mungu tuliyemtazamia. Njoni tufurahi na kushangilia kwa kuwa ametuokoa.”
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.
Shirikisha
Soma Isaya 25